Chombokwahewa Photos & Videos

22 minutes ago

Wema Sepetu Leo Amesema hajawahi kukat Utumbo wake Bali tu ni matibabu ndo yaliyo mtaka Apungue iliaweze kuzui kizazi kuzungukwa na mafuta ...! Lakini watu wamemjia juu wakisema Ni muongo sana Je wewe una Maoni Gani?? Follow @worthwears @worthwears @worthwears For more stories ⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀ ⠀⠀⠀ ⠀ ⠀⠀⠀ ⠀ #huunimwakawako #wemasepetu #wewenibora #chocolatelab #jibebechallange  #katika   #Tumewasha #HiiNiYetuSote  #kondeboy #SanaaImezaliwaUpya #millardayoupdates #daudatransferupdates #Tetema #dauda  #bongo5updates #chombokwahewa  #kingkiba  #sawa #sammisagonews  #dizzimnews #watapatatabusana  #leotena #nguvuyauma  #ubuyujackpot #mamachogo #hekaheka #niwewe #chombokwahewa #sonyupdates #vibekamaloteeJifunze   #Tumewasha  #HiiNiYetuSote #kondeboy  #SanaaImezaliwaUpya #millardayoupdates #daudatransferupdates  #dauda #bongo5updates  #chombokwahewa #kingkiba  #sawa  #sammisagonews #dizzimnews  #watapatatabusana #leotena

40
26 minutes ago

Own your throne ❤😂

172
28 minutes ago

Poses on fleek💕😘

112
3 hours ago

Wengi wetu tumeanza kukufahamu Mara baada ya wewe kufanikiwa kutoka ki-muziki miaka 10 iliyopita, undani wa maisha yako kabla ya hapo ni fumbo kwetu ambalo majibu yake mwaya-fahamu wewe na familia yako pekee. Hatuwezi jua wala fahamu ni kovu gani uliloachiwa na baba yako mzazi katika maisha yako ya nyuma ambalo limekufanya uwe na ugumu katika kurejesha moyo wako nyuma na kusamehe. Wengi wanaonekana kuhukumu aina ya maisha uliyochagua kuishi na mzee wako, si kwamba hawakupendi na wanakuingilia bali ni kwa ajili ya upendo tu wanataka wawaone mkiwa na furaha pamoja kama ilivyokuwa awali. Mzazi ni mzazi Naseeb, hata usiposamehe hawezi jifunza.! Sina maana ya kukupangia maisha wala kukutusi kama wengine wafanyavyo, lakini mzazi ni mmoja tu tuliyepewa na MUNGU licha ya mapungufu yake hatuwezi badili hilo. Usiruhusu mafanikio yako yawe ni fimbo ya kumuadhibu na kuwapa faida wasio maana bali liwe fundisho kwake na kwa wazazi wengine waliotenda kama yeye. Hata kama hupendezwi na wao kutokuwa na maelewano kama Baba na mwana, usitumie maneno makali na lugha ya matusi kumshambulia, pengine kikombe cha maumivu alichonyeshwa akiwa mdogo na baba yake, wewe usingeweza kistahimili. Tuna-heshimu maamuzi yako na mipaka ya familia yako lakini mapenzi ya ushabiki ndio yanafanya watu waumie kuona hali yako wewe na mzee wako. #Siowepesi . . #azamtv #Tumewasha #HiiNiYetuSote #SanaaImezaliwaUpya #MillardAyoUPDATES #DaudaTransferUpdates #bongo5updates #ChomboKwahewa #mofayabyalikiba #SupportedByKiba #KingKiba #mswahili🇹🇿 #Tanzania #SammisagoNEWS #DizzimUpdates #DiamondPlatnumz #ommydimpoz #WCB4LIFE #Nguvuyauma #dingimtoto #ubuyujackpot #mamachogo #Uhondo #udaku #uswazi #kwetu #uswahilini #TBConline

340
4 hours ago

183
4 hours ago

153
4 hours ago

102
5 hours ago

172
5 hours ago

A Total Bomber Its relic

1k13
5 hours ago

"Naishukuru sana Bodi ya Filamu kwasababu walikuwa na uwezo wa kuninyang'anya leseni yangu, nimejifunza kutokana na makosa na ninaahidi nitabadilisha muonekano wangu, naipenda kazi yangu naihusudu na naithamini" -Wema Sepetu baada ya kufunguliwa na Bodi ya Filamu. . . . Cc: Millard Ayo . Follow @worthwears @worthwears @worthwears For more stories ⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀ ⠀⠀⠀ ⠀ ⠀⠀⠀ ⠀ #huunimwakawako #wemasepetu #wewenibora #chocolatelab #jibebechallange  #katika   #Tumewasha #HiiNiYetuSote  #kondeboy #SanaaImezaliwaUpya #millardayoupdates #daudatransferupdates #Tetema #dauda  #bongo5updates #chombokwahewa  #kingkiba  #sawa #sammisagonews  #dizzimnews #watapatatabusana  #leotena #nguvuyauma  #ubuyujackpot #mamachogo #hekaheka #niwewe #chombokwahewa #sonyupdates #vibekamaloteeJifunze   #Tumewasha  #HiiNiYetuSote #kondeboy  #SanaaImezaliwaUpya #millardayoupdates #daudatransferupdates  #dauda #bongo5updates  #chombokwahewa #kingkiba  #sawa  #sammisagonews #dizzimnews  #watapatatabusana #leotena

430
5 hours ago

Huyu ni mmoja kati ya wale walimu ambao walikamatwa na kosa la kugushi vyeti vya uraia nchini sahivi aonekana akiwa na mke wake kwenye gari wakienjoy maishai. Hii inamaana kwamba mambo yote ni shwari. . . #Siowepesi . . #azamtv #Tumewasha #HiiNiYetuSote #SanaaImezaliwaUpya #MillardAyoUPDATES #DaudaTransferUpdates #bongo5updates #ChomboKwahewa #mofayabyalikiba #SupportedByKiba #KingKiba #mswahili🇹🇿 #Tanzania #SammisagoNEWS #DizzimUpdates #DiamondPlatnumz #ommydimpoz #WCB4LIFE #Nguvuyauma #dingimtoto #ubuyujackpot #mamachogo #Uhondo #udaku #uswazi #kwetu #uswahilini #TBConline

120